Number 12
Mungu Mbariki
Mungu Mbariki
1. Mungu mbarikiMpendwa nabii,Mpe afya.Na utuongoze soteKwa maneno yake,Ili tuchagueYale mema.
2. Na wako ufalme,Uenee poteUfikapo.Ukweli wawaka,Nasi twaungana,Kwa kasi kufikaKwenye lengo.
3. Tuwe na umoja,Kama Baba, Mwana,Kwa amani.Kwa mioyo yote,Tusimame sote,Na milele tuweMajasiri.
Maandishi: Bernard Snow, 1822–1894
Muziki: Harry A. Dean, 1892–1987.© 1985 IRI