Book cover

Bwana Ni Mwokozi

Nyimbo za Dini, 27

0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Bwana ni Mwokozi Na Mfalme wenu! Mshangilieni Na kumuabudu.

Msifuni! Shangilia Mkiimba kwa furaha! Msifuni! Shangilia Mkiimba kwa furaha!

2. Kitini pa enzi, Bwana atawala. Mungu wa ukweli Alituokoa.

Msifuni! Shangilia Mkiimba kwa furaha! Msifuni! Shangilia Mkiimba kwa furaha!

3. Alishinda Kristo Kote kutawala, Funguo za kifo Bwana alipewa.