Number 27
Bwana Ni Mwokozi
Bwana Ni Mwokozi
1. Bwana ni MwokoziNa Mfalme wenu!MshangilieniNa kumuabudu.
Msifuni! ShangiliaMkiimba kwa furaha!Msifuni! ShangiliaMkiimba kwa furaha!
2. Kitini pa enzi,Bwana atawala.Mungu wa ukweliAlituokoa.
Msifuni! ShangiliaMkiimba kwa furaha!Msifuni! ShangiliaMkiimba kwa furaha!
3. Alishinda KristoKote kutawala,Funguo za kifoBwana alipewa.
Msifuni! ShangiliaMkiimba kwa furaha!Msifuni! ShangiliaMkiimba kwa furaha!
Maandishi: Charles Wesley, 1707–1788
Muziki: Horatio Parker, 1863–1919