1. Enyi wenye shukrani;Mavuno imbieni.Ndani yamekusanywa;Baridi imeanza.Vyote atoa MunguKwa uhitaji wetu.Njooni hekaluniMavuno imbieni.
2. Dunia ni ya Mungu,Ni shamba la kusifu:Magugu kwa majuto,Bali shangwe kwa ngano.Kwanza jani na suke,Halafu mbegu yote.Bwana amekubaliTuwe mbegu halisi.