Number 69
Ushuhuda
Ushuhuda
1. Ushuhuda wake Roho,Kwa wanaojua,Umeniinua kwako,Ewe Mungu Baba.
2. Najua upo mbinguni.Atawala Yesu.Najua yupo nabiiKwa faida yetu.
3. Moyo wangu umejaaRoho asemaye.Bwana, niwe mpya kwakoNa kwangu ukae.
4. Nipatapo ushuhuda,Hupoza machungu.Mwonekano wa mbinguni,Huwa wazi kwangu.
Maandishi: Loren C. Dunn, 1930–2001. © 1985 IRI
Muziki: Michael Finlinson Moody, kuz. 1941. © 1985 IRI