Book cover

Tusifu Jina la Bwana

Nyimbo za Dini, 99


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Tusifu jina la Bwana, Atukuzwe Yesu, Aliyekufa Golgotha, Kutuweka huru.

2. Aliyashinda mauti, Kuleta wokovu, Wenye dhambi kawaita, Kuishi kwa Mungu.

3. Kashinda nguvu za kifo, Kamshinda nyoka, Amefungua kaburi, Wafu kafufua.

4. Sakramenti ni ishara Ya dhambi kuoshwa, Shirikini na kukiri Mnamkumbuka.