Number 99
Tusifu Jina la Bwana
Tusifu Jina la Bwana
1. Tusifu jina la Bwana,Atukuzwe Yesu,Aliyekufa Golgotha,Kutuweka huru.
2. Aliyashinda mauti,Kuleta wokovu,Wenye dhambi kawaita,Kuishi kwa Mungu.
3. Kashinda nguvu za kifo,Kamshinda nyoka,Amefungua kaburi,Wafu kafufua.
4. Sakramenti ni isharaYa dhambi kuoshwa,Shirikini na kukiriMnamkumbuka.
Maandishi: Richard Alldridge, 1815–1896
Muziki: Joseph Coslett, 1850–1910