Number 108
Ni Upendo Ulioje
Ni Upendo Ulioje
1. Ni upendo uliojeUlio kwa BabaKumtuma Yesu ajeKuteswa na kufa!
2. Maishaye ya thamaniKayatoa bure,Japo hakuwa na dhambi,Kuokoa wote.
3. Kwa utii akashindaZawadi tukufu:“Kama utakavyo, Baba,”Alisema Yesu.
4. Yesu alituoneshaNjia ya ukweli,Kwenye mwanga na uzimaKwa Mungu mbinguni.
5. Kukumbuka mwili wakeMkate twakula,Twaonesha kwa kikombeTwamwamini Bwana.
6. Ni mkuu na kamiliWokovu wa Bwana.Rehema, pendo na hakiVinaunganishwa.
Maandishi: Eliza R. Snow, 1804–1887
Muziki: Thomas McIntyre, 1833–1914