1. Shangwe kote, Bwana aja; Mfalme, karibu! Kila moyo, tayarisha, Na Watakatifu, Na Watakatifu, Nanyi malaika sifu.
2. Yesu atapotawala Na Wema waimbe, Mbuga, mito, na vilima Kote warudie, Kote warudie, Zao shangwe na zivume.
3. Majonzi yatakomeshwa, Pia na mateso; Atakuja kuzifanya Baraka ziwemo, Baraka ziwemo, Kote laana ilipo.
4. Shangwe! Kwa Aliye Juu, Sayuni yakua Kama nyota kwenye mbingu, Milele daima, Milele daima Mungu zinamtukuza.