2. Yesu atapotawalaNa Wema waimbe,Mbuga, mito, na vilimaKote warudie,Kote warudie,Zao shangwe na zivume.
3. Majonzi yatakomeshwa,Pia na mateso;Atakuja kuzifanyaBaraka ziwemo,Baraka ziwemo,Kote laana ilipo.
4. Shangwe! Kwa Aliye Juu,Sayuni yakuaKama nyota kwenye mbingu,Milele daima,Milele daimaMungu zinamtukuza.
Maandishi: Isaac Watts, 1674–1748; Yamebadilishwa na William W. Phelps, 1792–1872. Yalijumuishwa katika kitabu cha kwanza cha nyimbo za Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho, 1835.
Muziki: George F. Handel, 1685–1759; Umepangiliwa na Lowell Mason, 1792–1872