Book cover

Malaika wa Juu

Nyimbo za Dini, 116

0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Malaika wa juuMakondeni waimba,Na milima yajibuMiwangwi ya furaha.

Utukufu kwake Mungu juu.Utukufu kwake Mungu juu.

2. Wachungaji, kunani?Mbona nyimbo mwaimba?Ni taarifa ganiZinazowavutia?

Utukufu kwake Mungu juu.Utukufu kwake Mungu juu.

3. Njooni mumuoneYule anayeimbwa;Njoo, msujudieMtoto, Kristo Bwana.

Utukufu kwake Mungu juu.Utukufu kwake Mungu juu.