Number 117
Usiku Mtulivu!
Usiku Mtulivu!
1. Usiku mtulivu!Ku kimya, ku ng’avuKote kwa mama na Mwana.Mtukufu, Mwana mwanana,Lala kwa amaniLala kwa amani.
2. Usiku mtulivu!Mchunga ahofu!Utukufu watokea;Mbingu yaimba Haleluya!Azaliwa Kristo!Azaliwa Kristo!
3. Usiku mtulivu!Upendo mng’avuWang’ara mwako usoniNa neema ya ukombozi,Waja Bwana Mungu.Waja Bwana Mungu.
Maandishi: Joseph Mohr, 1792–1848; Yametafsiriwa na John F. Young, 1820–1885
Muziki: Franz Gruber, 1787–1863