Number 118
Ukaja Usiku Ule
Ukaja Usiku Ule
1. Ukaja usiku ule,Wimbo wa zamani,Wakiimba malaikaKwa kupiga vinubi.“Amani ulimwenguniYatoka kwa Bwana.”Dunia iwe tulivuKuwasikiliza.
2. Bado waja na mawinguKwa mbawa tulivu,Na muziki unavumaKatika ulimwengu.Nyikani penye huzuniWajiinamia,Juu ya kelele nyingiWanawaimbia.
3. Manabii walijuaSiku zitakuja.Na miaka ipitapoYote yatatokea,Ndipo vitakiri vyoteBwana wa Amani.Nayo dunia iimbeNa wote mbinguni.
Maandishi: Edmund H. Sears, 1810–1876
Muziki: Richard S. Willis, 1819–1900