1. Chagua jema tu kila wakati,Kwa mema Roho huongoza,Daima ataangazia nafsi,Unapochagua jema.
Chagua, jema tu!Uongozwe na hekima.Chagua, jema tu!Mungu akupe baraka.
2. Chagua jema! Na usiruhusuUovu hata ukushinde.Dunia inayo mengi majibu;Acha Roho aongoze.
Chagua, jema tu!Uongozwe na hekima.Chagua, jema tu!Mungu akupe baraka.
3. Chagua jema, amani upate,Chagua jema, kuna kinga.Chagua jema, ufanyapo yote;Mungu awe lengo jipya.
Chagua, jema tu!Uongozwe na hekima.Chagua, jema tu!Mungu akupe baraka.