1. Waitwa wenye dhamira Ya wachapakazi. Njoo kazi tuifanye; Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu. Fanya kwa moyo wenye uhuru. Tuna kazi; tusibaki. Weka zako juhudi
2. Kanisa linatafuta Watu saidizi. Kazi za kufanya zipo; Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu. Fanya kwa moyo wenye uhuru. Tuna kazi; tusibaki. Weka zako juhudi.
3. Basi usikae bure; Pambana na dhambi. Vita ina endelea; Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu. Fanya kwa moyo wenye uhuru. Tuna kazi; tusibaki. Weka zako juhudi.
4. Basi omba na pambana Kwa nguvu na ari. Fanya kila jambo jema; Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu. Fanya kwa moyo wenye uhuru. Tuna kazi; tusibaki. Weka zako juhudi.