Number 145
Weka Zako Juhudi
Weka Zako Juhudi
1. Waitwa wenye dhamiraYa wachapakazi.Njoo kazi tuifanye;Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu.Fanya kwa moyo wenye uhuru.Tuna kazi; tusibaki.Weka zako juhudi
2. Kanisa linatafutaWatu saidizi.Kazi za kufanya zipo;Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu.Fanya kwa moyo wenye uhuru.Tuna kazi; tusibaki.Weka zako juhudi.
3. Basi usikae bure;Pambana na dhambi.Vita ina endelea;Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu.Fanya kwa moyo wenye uhuru.Tuna kazi; tusibaki.Weka zako juhudi.
4. Basi omba na pambanaKwa nguvu na ari.Fanya kila jambo jema;Weka zako juhudi.
Weka zako juhudi; kwa hamu.Fanya kwa moyo wenye uhuru.Tuna kazi; tusibaki.Weka zako juhudi.
Maandishi na muziki: Will L. Thompson, 1847–1909