Auto-scroll is most reliable with MIDI (computer-generated) audio.
Practice
Loading…
Weka Zako Juhudi
1. Waitwa wenye dhamira\nYa wachapakazi.\nNjoo kazi tuifanye;\nWeka zako juhudi.\n\n[Chorus]\nWeka zako juhudi; kwa hamu.\nFanya kwa moyo wenye uhuru.\nTuna kazi; tusibaki.\nWeka zako juhudi\n\n2. Kanisa linatafuta\nWatu saidizi.\nKazi za kufanya zipo;\nWeka zako juhudi.\n\n[Chorus]\nWeka zako juhudi; kwa hamu.\nFanya kwa moyo wenye uhuru.\nTuna kazi; tusibaki.\nWeka zako juhudi.\n\n3. Basi usikae bure;\nPambana na dhambi.\nVita ina endelea;\nWeka zako juhudi.\n\n[Chorus]\nWeka zako juhudi; kwa hamu.\nFanya kwa moyo wenye uhuru.\nTuna kazi; tusibaki.\nWeka zako juhudi.\n\n4. Basi omba na pambana\nKwa nguvu na ari.\nFanya kila jambo jema;\nWeka zako juhudi.\n\n[Chorus]\nWeka zako juhudi; kwa hamu.\nFanya kwa moyo wenye uhuru.\nTuna kazi; tusibaki.\nWeka zako juhudi.\n