Book cover

Yehova, Bwana wa Wote

Nyimbo za Dini, 153


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Yehova, Bwana wa wote,Tangaza ukweli,Uenee pande zote,Na waukubali;Uenee pande zote,Na waukubali.

2. Kanisa lako likue,Ufalme wa Mungu,Na amani dunianiIakisi mbingu.Na amani dunianiIakisi mbingu.

3. Kazi isogee mbeleKwayo mataifa,Yakawe kwenye ufalme,Na ukawe Bwana,Yakawe kwenye ufalme,Na ukawe Bwana.

4. Ndipo wanadamu woteWatakuimbia,Watasalimu mawingu,Wote wataimba;Watasalimu mawingu,Wote wataimba.