1. Nina familia yangu. Na kwangu ni wema. Nataka niishi nao milele daima.
Familia huwa za milele Kwa mpango wa Baba. Niwe na familia yangu daima Na Bwana amenionesha, Amenionesha njia.
2. Nikiwa bado mdogo, Vyema nijiandae, Nikafunge hekaluni ndoa ya milele.
Familia huwa za milele Kwa mpango wa Baba. Niwe na familia yangu daima Na Bwana amenionesha, Amenionesha njia.