Number 176
Familia Huwa za Milele
Familia Huwa za Milele
1. Nina familia yangu.Na kwangu ni wema.Nataka niishi nao milele daima.
Familia huwa za mileleKwa mpango wa Baba.Niwe na familia yangu daimaNa Bwana amenionesha,Amenionesha njia.
2. Nikiwa bado mdogo,Vyema nijiandae,Nikafunge hekaluni ndoa ya milele.
Familia huwa za mileleKwa mpango wa Baba.Niwe na familia yangu daimaNa Bwana amenionesha,Amenionesha njia.
Maandishi: Ruth M. Gardner, 1927–1999. © 1980 IRI
Muziki: Vanja Y. Watkins, kuz. 1938. © 1980 IRI