Auto-scroll is most reliable with MIDI (computer-generated) audio.
Practice
Loading…
Kila Ninapoomba
1. Kila Ninapoomba,Wanisikia, Na nahisi upendowe.Tunayo ya kusema.Wangu msaidizi,Kwenye mahitaji.
Wajaza nuru mwangu moyoni.Unanijua, wanifariji.Imani nawa nayo.Kwa neno lako.Upo karibu, wajibu sala.Nina amani, na ninahisiNaweza mambo yoteKwa neno lako.
2. Najua siko mwenyewe.Upo na mimiNeno laniponya.Sitakuacha kamwe,Nikipatwa na shaka,Unaniongoza.
Wajaza nuru mwangu moyoni.Unanijua, wanifariji.Imani nawa nayo.Kwa neno lako.Upo karibu, wajibu sala.Nina amani, na ninahisiNaweza mambo yoteKwa neno lako.Kwa neno lako.Kwa neno lako.
Wajaza nuru mwangu moyoni.Unanijua, wanifarijiImani nawa nayo.Kwa neno lako.