Page 18
Baba Mungu Sikia Maombi Yetu
Baba Mungu Sikia Maombi Yetu
1. Mungu Baba twaomba;Tutumie neema.Tukila sakramenti,Twalindwa na Mwokozi.
2. Tupe neema yakoNa tabasamu lako.Na mkate tukila,Thibitisho twaomba.
3. Na tukiyanywa maji,Roho awepo nasi.Tusamehe, Ee Bwana,Bariki tuwe wema.
Maandishi: Annie Pinnock Malin, 1863–1935
Muziki: Lous M. Gottschalk, 1829–1869; umefanyiwa marekebisho na Edwin P. Parker, 1836–1925