Albanian
American Sign Language (ASL)
Bulgarian
Cantonese (Romanized/Pingyam)
Cebuano
Croatian
Czech
Danish
Dutch
English
English Braille
Estonian
Fijian
Finnish
French
German
Greek
Hmong
Hungarian
Icelandic
Indonesian
Italian
Japanese
Kekchi
Khmer (Cambodian)
Korean
Latvian
Lithuanian
Mandarin (Romanized/Pinyin)
Mandarin (Simplified)
Mandarin (Traditional)
Mongolian
Norwegian
Polish
Portuguese
Romanian
Russian
Samoan
Spanish
Spanish Braille
Swahili
Swedish
Tagalog
Tahitian
Thai
Tongan
Ukrainian
Arabic
Albanian
Amharic
Arabic
Armenian (East)
Aymara
Basque
Bikolano
Bislama
Bulgarian
Cebuano
Chamorro
Chuukese
Czech
Efik
English
Estonian
Fante
Fijian
Georgian
Greek
Guarani
Gusii (Kisii)
Haitian Creole
Hiligaynon
Hmong
Hungarian
Icelandic
Igbo
Ilokano
Indonesian
Kazakh
Kekchi
Khmer (Cambodian)
Kiribati (Gilbertese)
Kosraean
Kuna
Laotian
Latvian
Lingala
Lithuanian
Malagasy
Maltese
Mam
Marshallese
Maya (Yucatec)
Mongolian
Niuean
Nivaclé
Pangasinan
Pohnpeian
Polish
Quechua (Bolivia)
Quichua (Ecuador)
Rarotongan (Cook Islands Maori)
Romanian
Rotuman
Russian
Serbian
Shona
Slovak
Slovenian
Spanish
Swahili
Tagalog
Tok Pisin (Neomelanesian)
Tswana (Setswana)
Turkish
Twi
Ukrainian
Urdu
Vietnamese
Waray
Xhosa
Zulu
All versions of this song…
Page 42
Kuna Upendo Kila Mahali
Kuna Upendo Kila Mahali
1. Kuna uzuri kote
Penye upendo;
Furaha ipo tele
Penye upendo.
Amani na neema,
Zabubujika hapa.
Muda wote ni raha
Penye upendo.
Upendo, nyumbani;
Muda wote ni raha
Penye upendo.
2. Nyumbani kuna shangwe
Penye upendo;
Hakuna chuki kamwe
Penye upendo.
Waridi zinastawi;
Dunia ni bustani,
Maisha huwa heri,
Penye upendo.
Upendo, nyumbani;
Maisha huwa heri,
Penye upendo.
3. Mbingu hutabasamu
Penye upendo;
Dunia ni karimu
Penye upendo.
Mito hutuimbia;
Angani kunang’aa.
Mungu naye apenda
Penye upendo.
Upendo, nyumbani;
Mungu naye apenda
Penye upendo.
Maandishi na muziki: John Hugh McNaughton, 1829–1891