Page 48
Mbali Katika Mbuga Za Judea
Mbali Katika Mbuga Za Judea
1. Mbali kwenye nyanda za Yudea,
Wachungaji walisikia:
Utukufu,
Utukufu,
Utukufu kwake Mungu.
Amani duniani,
Kwa watu pawe kwema.
2. Sauti za upendo mtamu,
Ujumbe mwema kutoka juu:
Utukufu,
Utukufu,
Utukufu kwake Mungu.
Amani duniani,
Kwa watu pawe kwema.
3. Tufurahie na malaika,
Tuimbe kwa moyo mmoja:
Utukufu,
Utukufu,
Utukufu kwake Mungu.
Amani duniani,
Kwa watu pawe kwema.
4. Siku hiyo ifike haraka
Ambapo wote tutaimba:
Utukufu,
Utukufu,
Utukufu kwake Mungu.
Amani duniani,
Kwa watu pawe kwema.
Maandishi na muziki: John Menzies Macfarlane, 1833–1892