Number 9
Lo! Mlimani Kumora
Lo! Mlimani Kumora
1. Malaika wa juuKavunja kimya chake;Kashuka kwenye mbingu,Haya maneno yake:Lo! Mlimani KumoraMaandiko yamefichwa.Lo! Mlimani KumoraMaandiko yamefichwa.
2. Na kwa muda mrefuAlificha Moroni;Akingojea MunguAitolee amri.Itafunuliwa tenaKufanya njia ya Bwana.Itafuunuliwa tenaKufanya njia ya Bwana.
3. InazungumziaUzao wa YusufuNa yale mataifa,Yaliyo mapotevu.Na utimilifu huo,Wa injili yake Kristo.Na utimilifu huoWa injili yake Kristo.
4. Sasa ndiyo wakati,Uliotarajiwa;Ulimwengu utii,Giza litatoweka.Kitabu kifunguliwe,Duniani kiangaze.Kitabu kifunguliwe,Duniani kiangaze.
5. Tazama IsraeliWatakusanywa kwaoWatajenga kwa maliYerusalemu yao,Na Sayuni itang’aa,Ukweli ikieneza.Na Sayuni itanga’a,Ukweli ikieneza.
Maandishi: Parley P. Pratt, 1807–1857
Muziki: John E. Tullidge, 1806–1873