Number 41
Bwana Ni Nuru
Bwana Ni Nuru
1. Bwana ni nuru; ya nini hofu?Wakati wote yupo karibu.Ni wokovu wangu toka dhambini;Na Roho hunipa ahadi hii.
Bwana ni nuru;Ni wimbo na furaha.Siku, usiku,Naongozwa daima.
2. Bwana ni nuru; hushinda giza.Imani kuu, mbingu hupenyaAmbapo daima ni Mwenye enzi.Hivyo kwa nini nibaki gizani?
Bwana ni nuru;Ni wimbo na furaha.Siku, usiku,Naongozwa daima.
3. Bwana ni nuru; ni nguvu yangu.Kwa nguvu yake nitayamudu.Mapungufu yangu huimarisha,Kwa uaminifu nabarikiwa.
Bwana ni nuru;Ni wimbo na furaha.Siku, usiku,Naongozwa daima.
4. Bwana ni nuru, yote hakika.Kwake hakuna giza kabisa.Mkombozi wangu, Mfalme wangu.Nitamsifu na watakatifu.
Bwana ni nuru;Ni wimbo na furaha.Siku, usiku,Naongozwa daima.
Maandishi: James Nicholson, 1828–1876
Muziki: John R. Sweney, 1837–1899