Number 47
Ninakuhitaji
Ninakuhitaji
1. Ninakuhitaji,Ewe Bwana.Hakuna mwingineKuniponya.
Yesu nakuhitaji;Muda wote Bwana!Nibariki Mwokozi;Naja kwako!
2. Ninakuhitaji;Kwangu njoo.Jaribu hushindwaUkiwepo.
Yesu nakuhitaji;Muda wote Bwana!Nibariki Mwokozi;Naja kwako!
3. Ninakuhitaji,Muda wote.Njoo kwa haraka,Niwezeshe.
Yesu nakuhitaji;Muda wote Bwana!Nibariki Mwokozi;Naja kwako!
4. Ninakuhitaji,Bwana Mungu.Nifanye wa kwako,Mtukufu!
Yesu nakuhitaji;Muda wote Bwana!Nibariki Mwokozi;Naja kwako!
Maandishi: Annie S. Hawks, 1835–1918
Muziki: Robert Lowry, 1826–1899