Number 81
Kama Umande Wa Mbingu
Kama Umande Wa Mbingu
1. Kama umande wa mbinguUshukavyo nyasiniIli kuzitia nguvuPamoja na ulinzi,
2. Hivyo mafundisho, Bwana,Yashuke toka kwako,Yaweze kutoshelezaKaziyo ya upendo.
3. Ona waumini, Bwana;Timizia ahadi.Kutoka mbinguni tumaUmande wa uhai.
4. Sikia maombi yetu.Mtume Roho aje,Ili watu wasujuduPia wakutukuze.
Maandishi: Thomas Kelly, 1769–1854
Muziki: Joseph J. Daynes, 1851–1920