Number 84
Imba Twaondoka
Imba Twaondoka
1. Imba twaondokaTu kimsifu,Baba wa mbinguni,Na nyimbo zetu.Kwa upendo wake,Kwa kutulinda,Wimbo wa SabatoTutauimba.
2. Msifu kwa wema,Na kwa rehema.Kwa baraka zoteMsifu Bwana.Sauti za shangweZiimbe sana.Yesu astahiliShairi bora.
3. Yesu, Mkombozi,Sasa sikia.Tunyenyekeapo,Tunakuomba.Bwana tuokoe,Tupe riziki.TukutumikieKwa usahihi.
Maandishi: George Manwaring, 1854–1889
Muziki: Ebenezer Beesley, 1840–1906