Number 87
Kaa Nami!
Kaa Nami!
1. Kaa nami! Kwani kumekuchwa;Usiniache gizani, Bwana!Wanaposhindwa wasaidizi,Auni wa kweli, kaa nami!
2. Siku zinayoyoma haraka.Duniani raha hufifia.Naona mabadiliko mengi;Ewe Mwaminifu, kaa nami!
3. Kila saa ninakuhitaji.Nani atamshinda Shetani?Mwimo wangu, mwingine hakuna,Kila hali kaa nami, Bwana!
Maandishi: Henry F. Lyte, 1793–1847
Muziki: William H. Monk, 1823–1889