Number 120
Malaika Waimba
Malaika Waimba
1. Malaika waimbaUtukufu kwa Bwana!Amani duniani,Kusamehewa dhambi!Shangwe kwa mataifa;Ushindi shangilia;Tuimbe kwa vifijoAmezaliwa Kristo
Malaika waimbaUtukufu kwa Bwana!
2. Shangwe kwa Bwana Yesu!Mwana Mtakatifu!Kaleta na uhai,Ukaja uponyaji.Msalabani afaWatu wasife tena;Awafufue wote,Pia awaokoe.
Malaika waimbaUtukufu kwa Bwana!
Maandishi: Charles Wesley, 1707–1788
Muziki: Felix Mendelssohn, 1809–1847