Number 169
Dada wa Sayuni (Wanawake)
Dada wa Sayuni (Wanawake)
1. Dada wa Sayuni, tushirikianeBaraka za Mungu kuzitafuta.Kwa nguvu tuujenge ufalme wake,Kwa wale wanyonge tuwe faraja.
2. Tumepewa ujumbe wa malaika,Na twajivunia kipawa hiki:Tufanye vyote vya utu kwa pamojaKwa jina la huruma tubariki.
3. Azima na wito wetu ni mpana,Kazi za kiroho tutekeleze.Ni Roho tu atakayetufundishaTupate hekima tufanikiwe.
Maandishi: Emily H. Woodmansee, 1836–1906
Muziki: Janice Kapp Perry, kuz. 1938. © 1985 IRI