Number 182
Baba Anaishi
Baba Anaishi
1. Baba anaishi, na ananipenda.Huu ni ukweli Roho huninong’oneza.Huninong’oneza.
2. Kukuza imani, kanileta hapa.Roho huninong’oneza kwamba ninaweza,Kwamba ninaweza.
Maandishi na muziki: Reid N. Nibley, 1923–2008. © 1969 IRI